Kwa mujibu wa Idara ya tarjama ya Shirika la Habari la Hawza, Harakati ya Hamas imetoa ujumbe maalumu wa kutoa pongezi zao kutokana na kuchaguliwa Ayatullah Sayyed Mujtaba Khamenei kama Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika ujumbe huo imeelezwa kwamba:
Tunawasilisha pongezi zetu za dhati kabisa kwa ndugu zetu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na mnasaba wa kuchaguliwa Mtukufu Ayatollah Sayyid Mujtaba Khamenei kuwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran.

Maoni yako